Baba Yetu

Download: Baba Yetu – Lord’s Prayer in Swahili Mp3 (Video / Lyrics) Alex Boyé, BYU Men’s Chorus Philharmon

Download Baba Yetu Lord’s Prayer in Swahili Mp3 Video Lyrics Alex Boyé, BYU Men’s Chorus Philharmon

Lord’s Prayer in Swahili Mp3 by Baba Yetu Ft. Men’s Chorus Philharmon

Play Audio.

Lord’s Prayer in Swahili Video Mp4 by Baba Yetu Ft. Men’s Chorus Philharmon

Lord’s Prayer in Swahili Lyrics by Baba Yetu Ft. Men’s Chorus Philharmon

[Chorus]
Baba yetu, yetu uliye
Mbinguni yetu, yetu, amina
Baba yetu, yetu, uliye
Jina lako litukuzwe
Baba yetu, yetu uliye
Mbinguni yetu, yetu, amina
Baba yetu, yetu, uliye
Jina lako litukuzwe

[Verse]
Utupe leo chakula chetu
Tunachohitaji utusamehe
Makosa yetu, hey
Kama nasi tunavyowasamehe
Waliotukosea usitutie
Katika majaribu, lakini
Utuokoe, na yule Mwovu, milele!

[Chorus]
Baba yetu, yetu uliye
Mbinguni yetu, yetu, amina
Baba yetu, yetu, uliye
Jina lako litukuzwe
Baba yetu, yetu uliye
Mbinguni yetu, yetu, amina
Baba yetu, yetu, uliye
Jina lako litukuzwe

[Bridge]
Ufalme wako ufike utakalo
Lifanyike duniani kama mbinguni (Amina)

[Chorus]
Baba yetu, yetu uliye
Mbinguni yetu, yetu, amina
Baba yetu, yetu, uliye
Jina lako litukuzwe
Baba yetu, yetu uliye
Mbinguni yetu, yetu, amina
Baba yetu, yetu, uliye
Jina lako litukuzwe

[Verse]
Utupe leo chakula chetu
Tunachohitaji utusamehe
Makosa yetu, hey
Kama nasi tunavyowasamehe
Waliotukosea usitutie
Katika majaribu, lakini
Utuokoe, na yule Mwovu, milele!

[Outro]
Baba yetu, yetu, uliye
Jina lako litukuzwe
Baba yetu, yetu, uliye
Jina lako litukuzwe

Download Baba Yetu Lord’s Prayer in Swahili Mp3 Video Lyrics Alex Boyé, BYU Men’s Chorus Philharmon

Please Rate this post😍

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button
%d bloggers like this: